Huduma za GSM kwa mafundi simu, kwa Kiswahili na kwa TSh.

Kodi tool kwa saa, nunua credits, angalia IMEI. Weka salio kwa mobile money, chagua huduma, upate majibu hapa hapa.

  • Salio linaingia papo hapo
  • Oda ikishindikana, pesa inarudi yenyewe
  • Bei na muda vinaonekana kabla hujalipa
  • M-Pesa
  • Airtel Money
  • Mixx by Yas
  • HaloPesa

Aina za huduma